Nenda kwa yaliyomo

Lugha za Kislavoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kuhariri Lugha za Kislavoni

Lugha za Kislavoni ni kundi la lugha lenye asili ya Ulaya ya Mashariki na ni sehemu za familia ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Jumla kuna wasemaji milioni 300 wanaosema lugha ya Kislavoni kama lugha mama pamoja na wengine 100 wanotumia lugha hizo kama lugha ya pili.

Lugha za Kislavoni zenye wasemaji wengi ni Kirusi (milioni 140 wasemji kama lugha ya kwanza, wengine milioni 110 kama lugha ya pili), halafu Kiukraine na Kipolandi (kila moja lenye wasemaji milioni 50).

Lugha hizo zapangwa kwa vikundi vitatu:

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kislavoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.