Nenda kwa yaliyomo

Vermont

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vermont
Jimbo
Kauli Mbiu
"Freedom and Unity"
"Stella quarta decima fulgeat"
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la Vermont katika Marekani
Nchi Marekani
Mji Mkuu Montpelier
Jiji kubwa Burlington
Ilijiunga Machi 4, 1791; Miaka 233 iliyopita (ya 14)
Lugha Zinazongumuzwa
Utaifa Vermonter (en)
Serikali
Gavana Phil Scott (R)
Naibu gavana John S. Rodgers (R)
Eneo
Jumla 24923 km²
Ardhi 23957 km²
Maji 982 (3.94%)
Idadi ya Watu
Kadirio 648,498
Pato la Taifa (2024)
Jumla $45 4 Bilioni (ya 51)
Kwa kila mtu $70,131
HDI (2022) 0.945 (ya 8)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2023)
$81,200 (16)
Tovuti
🔗ca.gov

Vermont ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu ni Montpelier na mji mkubwa ni Burlington. Impekana na Kanada (Quebec), New Hampshire, Massachusetts na New York. Jimbo lina wakazi wapatao 621,270 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 24,923.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vermont kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.